35Wana wa Esau walikuwa: Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora.
36Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.
37Wana wa Reueli walikuwa: Nahathi, Zera, Shama na Miza.
38Wana wa Seiri walikuwa: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani.
39Wana wa Lotani walikuwa wawili: Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna.