4Wana wa Noa walikuwa: Shemu, Hamu na Yafethi.
5Wana wa Yafethi walikuwa: Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi.
6Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma.
7Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.
8Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu, Putu na Kanaani.