7Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.
8Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu, Putu na Kanaani.
9Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.
10Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi.
11Misraimu akawazaa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,