9Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.
10Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi.
11Misraimu akawazaa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
12Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori.
13Wana wa Kanaani walikuwa: Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi,