38Yoeli nduguye Nathani, Mibhari mwana wa Hagri,
39Seleki Mwamoni, Naharai Mbeerothi, mbeba silaha wa Yoabu mwana wa Seruya,
40Ira Mwithiri, Garebu Mwithiri,
41Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai,
42Adina mwana wa Shiza Mreubeni, ambaye alikuwa mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini,