38Obedi akamzaa Yehu, Yehu akamzaa Azaria,
39Azaria akamzaa Helesi, Helesi akamzaa Eleasa,
40Eleasa akamzaa Sismai, Sismai akamzaa Shalumu,
41Shalumu akamzaa Yekamia, naye Yekamia akamzaa Elishama.
42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.