14mwanawe huyo alikuwa Amoni na mwanawe huyo alikuwa Yosia.
15Wana wa Yosia walikuwa: Yohanani mzaliwa wake wa kwanza, Yehoyakimu mwanawe wa pili, wa tatu Sedekia, wa nne Shalumu.
16Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni: Yekonia mwanawe, na Sedekia.
17Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: Shealtieli mwanawe,
18Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia.