8Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Ahimaasi,
9Ahimaasi akamzaa Azaria, Azaria akamzaa Yohanani,
10Yohanani akamzaa Azaria (ndiye alifanya kazi ya ukuhani katika Hekalu alilojenga Mfalme Solomoni huko Yerusalemu),
11Azaria akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu,
12Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Shalumu,