1 Wakorintho 14

Kama mtu akipuuza jambo hili yeye mwenyewe atapuuzwa.

1 Corinthians 14:38 (UKJV) But if any man be ignorant, let him be ignorant.

36Je, neno la Mungu lilianzia kwenu? Au ni ninyi tu ambao neno la Mungu limewafikia?

37Kama mtu yeyote akidhani kwamba yeye ni nabii, au ana karama za rohoni, basi na akubali kwamba haya ninayoandika ni maagizo kutoka kwa Bwana.

38Kama mtu akipuuza jambo hili yeye mwenyewe atapuuzwa.

39Kwa hiyo ndugu zangu, takeni sana kutoa unabii na msikataze watu kusema kwa lugha.

40Lakini kila kitu kitendeke kwa heshima na kwa utaratibu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.