20Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
21Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe.
22Kama mtu yeyote hampendi Bwana Yesu Kristo, na alaaniwe. Bwana wetu, njoo.
23Neema ya Bwana Yesu iwe nanyi.
24Upendo wangu uwe nanyi nyote katika Kristo Yesu. Amen.