15Ahimaasi: katika Naftali (alikuwa amemwoa Basemathi binti Solomoni);
16Baana mwana wa Hushai: katika Asheri na katika Bealothi;
17Yehoshafati mwana wa Parua: katika Isakari;
18Shimei mwana wa Ela: katika Benyamini;
19Geberi mwana wa Uri: katika Gileadi (nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani). Naye alikuwa ndiye mtawala pekee katika eneo hilo.