27Akazituma kwa wale waliokuwa Betheli, Ramoth-Negebu na Yatiri;
28kwa wale walioko Aroeri, Sifmothi, Eshtemoa
29na Rakali; kwa wale waliokuwa katika miji ya Wayerameeli na ya Wakeni;
30na kwa wale walioko Horma, Bori-Ashani, Athaki,
31na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea.