2 Nyakati 25

Akarudishwa kwa farasi na akazikwa pamoja na baba zake katika Mji wa Yuda.

2 Chronicles 25:28 (UKJV) And they brought him upon horses, and buried him with his fathers in the city of Judah.

26Kwa habari ya matukio mengine katika utawala wa Amazia, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na wa Israeli?

27Kuanzia wakati ule Amazia alipogeuka na kuacha kumfuata Bwana walifanya shauri baya dhidi yake huko Yerusalemu naye akakimbilia Lakishi, lakini wakawatuma watu wamfuatilie huko Lakishi nao wakamuulia huko.

28Akarudishwa kwa farasi na akazikwa pamoja na baba zake katika Mji wa Yuda.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.