2 Nyakati 9

Solomoni alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.

2 Chronicles 9:30 (UKJV) And Solomon reigned in Jerusalem over all Israel forty years.

28Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka nchi nyingine zote.

29Kwa habari za matukio mengine ya utawala wa Solomoni, kuanzia mwanzo hadi mwisho, je, hayakuandikwa katika kumbukumbu za nabii Nathani, katika unabii wa Ahiya Mshiloni na katika maono ya Ido mwonaji kuhusu Yeroboamu mwana wa Nebati?

30Solomoni alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu.

31Kisha Solomoni akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa katika mji wa Daudi baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.