2 Wakorintho 6

Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure.

2 Corinthians 6:1 (UKJV) We then, as workers together with him, plead to you also that all of you receive not the grace of God in vain.

1Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure.

2Kwa maana asema: “Wakati wangu uliokubalika nilikusikia, siku ya wokovu nilikusaidia.” Tazama, wakati uliokubalika ndio huu, siku ya wokovu ndiyo sasa.

3Hatuweki kitu cha kukwaza katika njia ya mtu yeyote, ili huduma yetu isionekane kuwa na lawama.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.