29Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini;
30Benaya Mpirathoni; Hidai kutoka mabonde ya Gaashi;
31Abi-Alboni, Mwaribathi; Azmawethi, Mbarhumi;
32Eliaba, Mshaalboni; wana wa Yasheni; Yonathani
33mwana wa Shama, Mharari; Ahiamu mwana wa Sharari, Mharari;