27Abiezeri kutoka Anathothi; Mebunai, Mhushathi;
28Salmoni, Mwahohi; Maharai, Mnetofathi;
29Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini;
30Benaya Mpirathoni; Hidai kutoka mabonde ya Gaashi;
31Abi-Alboni, Mwaribathi; Azmawethi, Mbarhumi;