25Shama, Mharodi; Elika, Mharodi;
26Helesi, Mpalti; Ira mwana wa Ikeshi kutoka Tekoa;
27Abiezeri kutoka Anathothi; Mebunai, Mhushathi;
28Salmoni, Mwahohi; Maharai, Mnetofathi;
29Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini;