2 Wathesalonike 3

Kwa upande wenu, ndugu, ninyi kamwe msichoke katika kutenda mema.

2 Thessalonians 3:13 (UKJV) But all of you, brethren, be not weary in well doing.

11Kwa kuwa tunasikia kwamba baadhi ya watu miongoni mwenu ni wavivu. Hawafanyi kazi bali hujishughulisha na mambo ya wengine.

12Basi watu kama hao tunawaagiza na kuwahimiza katika Bwana Yesu Kristo, kwamba wafanye kazi kwa utulivu kwa ajili ya chakula chao wenyewe.

13Kwa upande wenu, ndugu, ninyi kamwe msichoke katika kutenda mema.

14Ikiwa mtu yeyote hayatii maagizo yetu yaliyoko katika barua hii, mwangalieni sana mtu huyo. Msishirikiane naye, ili apate kuona aibu.

15Lakini msimhesabu kuwa adui, bali mwonyeni kama ndugu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.