Kumbukumbu 14

Hawa ndio wanyama mtakaokula: ngʼombe, kondoo, mbuzi,

Deuteronomy 14:4 (UKJV) These are the beasts which all of you shall eat: the ox, the sheep, and the goat,

2kwa maana ninyi ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Bwana amewachagua ninyi kuwa taifa la kipekee kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia, mwe tunu yake.

3Msile kitu chochote ambacho ni machukizo.

4Hawa ndio wanyama mtakaokula: ngʼombe, kondoo, mbuzi,

5kulungu, paa, kongoni, paa mweupe, mbuzi-mwitu, pofu na kondoo wa mlimani.

6Mnaweza kumla mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.