6Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume 500.
7Pia waliwaua Parshendatha, Dalfoni, Aspatha,
8Poratha, Adalia, Ardatha,
9Parmashta, Arisai, Aridai na Waizatha,
10wana kumi wa Hamani mwana wa Hamedatha, adui wa Wayahudi. Lakini hawakuchukua nyara.