Kutoka 25

Utatumia talanta moja ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.

Exodus 25:39 (UKJV) Of a talent of pure gold shall he make it, with all these vessels.

37“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake.

38Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi.

39Utatumia talanta moja ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.

40Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.