Ezra 7

mwana wa Zerahia, mwana wa Uzi, mwana wa Buki,

Ezra 7:4 (UKJV) The son of Zerahiah, the son of Uzzi, the son of Bukki,

2mwana wa Shalumu, mwana wa Sadoki, mwana wa Ahitubu,

3mwana wa Amaria, mwana wa Azaria, mwana wa Merayothi,

4mwana wa Zerahia, mwana wa Uzi, mwana wa Buki,

5mwana wa Abishua, mwana wa Finehasi, mwana wa Eleazari, mwana wa kuhani mkuu Aroni.

6Huyu Ezra alipanda kutoka Babeli. Alikuwa mwalimu mwenye ujuzi mzuri katika sheria ya Mose, ambayo Bwana, Mungu wa Israeli, alikuwa ametoa. Mfalme alikuwa amempa Ezra kila kitu alichoomba, kwa maana Bwana Mungu wake alikuwa pamoja naye.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.