10Wana wa Simeoni ni: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani.
11Wana wa Lawi ni: Gershoni, Kohathi na Merari.
12Wana wa Yuda ni: Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). Wana wa Peresi ni: Hesroni na Hamuli.
13Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni.
14Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni na Yaleeli.