Ayubu 13

Hakika angewakemea kama mkiwapendelea watu kwa siri.

Job 13:10 (UKJV) He will surely reprove you, if all of you do secretly accept persons.

8Mtamwonyesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake?

9Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi? Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu?

10Hakika angewakemea kama mkiwapendelea watu kwa siri.

11Je, huo ukuu wake haungewatisha ninyi? Je, hofu yake isingewaangukia ninyi?

12Maneno yenu ni mithali za majivu; utetezi wenu ni ngome za udongo wa mfinyanzi.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.