19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; wakili wangu yuko juu.
20Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu;
21kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake.
22“Ni miaka michache tu itapita kabla sijaenda safari ambayo sitarudi.