23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, akiwa salama na mwenye raha kamili,
24mwili wake ukiwa umenawiri, nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake.
25Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi, akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri.
26Hao wote hulala mavumbini, nao mabuu huwafunika wote.
27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya.