Ayubu 27

Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema:

Job 27:1 (UKJV) Moreover Job continued his parable, and said,

1Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema:

2“Hakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu, Mwenyezi ambaye amenifanya nionje uchungu wa nafsi,

3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.