Ayubu 3

Usiku ule na uwe tasa; sauti ya furaha na isisikike ndani yake.

Job 3:7 (UKJV) Lo, let that night be solitary, let no joyful voice come therein.

5Giza na kivuli kikuu kiikalie tena; wingu na likae juu yake; weusi na uifunike nuru yake.

6Usiku ule na ushikwe na giza kuu; usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote.

7Usiku ule na uwe tasa; sauti ya furaha na isisikike ndani yake.

8Wale wazilaanio siku wailaani hiyo siku, wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.

9Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiuone mwonzi wa kwanza wa mapambazuko,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.