Ayubu 31

“Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani.

Job 31:1 (UKJV) I made a covenant with mine eyes; why then should I think upon a maid?

1“Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani.

2Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu?

3Je, si uharibifu kwa watu waovu, maangamizi kwa wale watendao mabaya?

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.