Ayubu 31

kama nimekula mazao yake bila malipo, au kuvunja mioyo ya wapangaji wake,

Job 31:39 (UKJV) If I have eaten the fruits thereof without money, or have caused the owners thereof to lose their life:

37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, ningemwendea kama mwana wa mfalme.)

38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi,

39kama nimekula mazao yake bila malipo, au kuvunja mioyo ya wapangaji wake,

40basi miiba na iote badala ya ngano, na magugu badala ya shayiri.” Mwisho wa maneno ya Ayubu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.