Ayubu 5

Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga.

Job 5:2 (UKJV) For wrath kills the foolish man, and envy slays the silly one.

1“Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia?

2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga.

3Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa.

4Watoto wake wako mbali na usalama, hushindwa mahakamani bila mtetezi.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.