46Hakuna mtu yeyote aliyemwona Baba isipokuwa yeye atokaye kwa Mungu, yeye ndiye peke yake aliyemwona Baba.
47Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele.
48Mimi ni mkate wa uzima.
49Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa.
50Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.