Yohana 9

Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu.

John 9:38 (UKJV) And he said, Lord, I believe. And he worshipped him.

36Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.”

37Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”

38Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu.

39Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.”

40Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa karibu naye wakamsikia na kumwambia, “Je, kweli sisi ni vipofu?”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.