19Akamjibu, “Naomba unifanyie jambo moja la hisani. Kwa kuwa umenipa ardhi huko Negebu, nipe pia chemchemi za maji.” Basi Kalebu akampa chemchemi za juu na za chini.
20Huu ndio urithi wa kabila la Yuda, ukoo kwa ukoo:
21Miji ya kusini kabisa ya kabila la Yuda katika Negebu kuelekea mpaka wa Edomu ilikuwa: Kabseeli, Ederi, Yaguri,
22Kina, Dimona, Adada,
23Kedeshi, Hazori, Ithnani,