41Gederothi, Beth-Dagoni, Naama na Makeda; yote ni miji kumi na sita pamoja na vijiji vyake.
42Libna, Etheri, Ashani,
43Yifta, Ashna, Nesibu,
44Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake.
45Ekroni, pamoja na viunga vyake na vijiji vyake;