57Kaini, Gibea na Timna; miji kumi pamoja na vijiji vyake.
58Halhuli, Beth-Suri, Gedori,
59Maarathi, Beth-Anothi na Eltekoni; miji sita pamoja na vijiji vyake.
60Kiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu) na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake.
61Huko jangwani: Beth-Araba, Midini, Sekaka,