59Maarathi, Beth-Anothi na Eltekoni; miji sita pamoja na vijiji vyake.
60Kiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu) na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake.
61Huko jangwani: Beth-Araba, Midini, Sekaka,
62Nibshani, Mji wa Chumvi, na En-Gedi; miji sita pamoja na vijiji vyake.
63Yuda hakuweza kuwafukuza Wayebusi, waliokuwa wakiishi Yerusalemu; hadi leo Wayebusi huishi huko pamoja na watu wa Yuda.