21Kabila ya Benyamini, ukoo kwa ukoo, ilikuwa na miji mikubwa ifuatayo: Yeriko, Beth-Hogla, Emeki-Kesisi,
22Beth-Araba, Semaraimu, Betheli,
23Avimu, Para na Ofra,
24Kefar-Amoni, Ofni, na Geba; miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
25Gibeoni, Rama na Beerothi,