21Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini.
22Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.
23Ni mpya kila asubuhi, uaminifu wako ni mkuu.
24Nimeiambia nafsi yangu, “Bwana ni fungu langu, kwa hiyo nitamngojea.”
25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, kwa yule ambaye humtafuta;