18kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, nao mbweha wanatembea juu yake.
19Wewe, Ee Bwana unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi.
20Kwa nini watusahau siku zote? Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu?
21Turudishe kwako mwenyewe, Ee Bwana, ili tupate kurudi. Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale,
22isipokuwa uwe umetukataa kabisa na umetukasirikia pasipo kipimo.