16Taji imeanguka kutoka kichwani petu. Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi!
17Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia, kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia,
18kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, nao mbweha wanatembea juu yake.
19Wewe, Ee Bwana unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi.
20Kwa nini watusahau siku zote? Kwa nini umetuacha kwa muda mrefu?