69Naye ametusimamishia pembe ya wokovu katika nyumba ya Daudi mtumishi wake,
70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani,
71kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao:
72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu,
73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu: