Luka 1

kuwajulisha watu wake juu ya wokovu utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao,

Luke 1:77 (UKJV) To give knowledge of salvation unto his people by the remission of their sins,

75katika utakatifu na haki mbele zake, siku zetu zote.

76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake,

77kuwajulisha watu wake juu ya wokovu utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao,

78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, nuru itokayo juu itatuzukia

79ili kuwaangazia wale waishio gizani na katika uvuli wa mauti, kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.