Luka 1

katika utakatifu na haki mbele zake, siku zetu zote.

Luke 1:75 (UKJV) In holiness and righteousness before him, all the days of our life.

73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu:

74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, tupate kumtumikia yeye pasipo hofu

75katika utakatifu na haki mbele zake, siku zetu zote.

76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake,

77kuwajulisha watu wake juu ya wokovu utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.