72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu,
73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu:
74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, tupate kumtumikia yeye pasipo hofu
75katika utakatifu na haki mbele zake, siku zetu zote.
76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake,