17Mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya Jina langu.
18Lakini hapatakuwa na unywele mmoja wa kichwa chenu utakaoangamia.
19Kwa kuvumilia mtaokoa roho zenu.
20“Mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, basi fahamuni kwamba kuharibiwa kwake kumekaribia.
21Wakati huo, wale walio Uyahudi wakimbilie milimani, walio mjini Yerusalemu watoke humo, nao wale walioko mashambani wasiingie mjini.