9Kisha ibilisi akampeleka mpaka Yerusalemu, akamweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa,
10kwa maana imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake ili wakulinde;
11nao watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”
12Yesu akamjibu, “Imesemwa, ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ”
13Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Yesu mpaka wakati mwingine ufaao.