10Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia,
11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.
12Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli,
13Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori,
14Azori akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Akimu, Akimu akamzaa Eliudi,