8Asa akamzaa Yehoshafati, Yehoshafati akamzaa Yoramu, Yoramu akamzaa Uzia,
9Uzia akamzaa Yothamu, Yothamu akamzaa Ahazi, Ahazi akamzaa Hezekia,
10Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia,
11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.
12Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli,